INASEMAKANA NCHI INAYOONGOZA KWA KUNUNUA MAGARI USED DUNIANI KUTOKA JAPANI NI TANZANIA. KWANI WATANZANIA WENGI HALI ZA KIFEDHA ZIKO CHINI SANA. KWA KWA 1.5 % NDIO WENYE UWEZO WA KUNUNUA MAGARI NEW NA ASILIMIA ILIYOBAKI WANANUNUA TU USED CAR KUTOKANA NI KIPATO CHAO KUWA KIDOGO. NA MKOA WENYEWE UNAONGOZA KUWA NA MAGARI MABOVU TANZANIAN NI DAR ES SALAAM. SASA TANZANIA INABIDI KAMA TANZANIA IANGLIE HALI YA WATANZANIA WALIOKUWA HALI YA CHINI NA HALI YA KATI. NJIA MUHIMU NI KUIMARISHA HALI YA UCHUMI NA RASILIMALI ZA NCHI YETU. TUJIANGALIE YA RASILIMALI ZETU NA SI KFAIDISHA WENGINE AU WAEKEZAJI.
0 Comments