Hizo ni kauli za vijana waliokuwa wakiandamana jana kupinga kupelekwa kwa mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema Filimon mbowe Ambapo ndio alikuwa akisafirishwa kuelekea mahakama ya uko Arusha. hapo jana maeneo ya magomeni moroco hotel.
Tunawangoja kwa hamu.
Hawa ni wazee wa kutoa dozi bila ganzi, wakiwa katika mingo zao. huku wakisubiri wale wanao andamana kwa kupinga kusafirishwa kupelekwa mkoani Arusha, mwenyekiti wao wa chadema. lakini wazee hao wa kazi waliondoka bila mafanikio kupatikana.
Post a Comment
1
Comments
Anonymous said…
WATANZANIA WAMEELIMIKA NA SI WALE WA ENZI HIZO.. SERIKALI CHUKUENI HATUA YA MAENDELEO MAZURI,,,
1 Comments