Mambo vipi wadau wangu hapa nipo maeneo magomeni. nikiwa karibu kabisa na mdau wangu madishi... yaani jamaa hadi home kwangu kaja kunisetia black and white tv.. du hata mpira nilifaidi.. huyu jamaa noma. wewe kama unataizo lako la dish mstustue tu huyu jamaa.. au mtembeleeni katika web yake ya blog. ni mustaphamadish.blogspot.com ujionee mwenyewe.. hata kama tv yako ni black and white atakurekebishia kwa dish mpaka chanel tuliiii!!!!!!! kama vip wewe soma mwangajamii...
0 Comments