YAFUATAYO NI MAONI MBALIMBALI YA KUHUSU NCHI YETU KUNDI LA REALFRIEND NDANI YA FACEBOOK.

KUELEKEA MIAKA 50 YA UHURU
 
Mkuu wa chuo (MUCCOBs)
Je kuna mabadiloko....!!
tatizo la umaskini wa tz
kwa kutoa takwimu mbalimbali zikiwemo
zifuatazo:
-12.1% ya watanzania ndio wanapata
umeme tz.
-95.8% ya watanzania wanatumia
vinyesi,mkaa na kuni kwa ajili ya kupikia.
-34% ya watanzania wanatumia vyoo vya
kisasa wengine baharini na porini.
-Uwepo wa magonjwa ya mlipuko mf.
kipindupindu. Mnamo mwaka 2002
Mwanza iliongoza kwa magonjwa ya
mlipuko
-Huduma mbovu za Afya.
-Death rate imeongezeka
Pia alizungumzia sababu za Tanzania
kuendelea kuwa maskini:
1.Tz inategemea kilimo cha mvua
2.Ari ya kufanya kazi imepungua
3.Tunategemea takwimu na miongozo
kutoka world bank na imf
4.Ukosefu wa shule nzuri,walimu na vifaa
vya kufundishia.
5.Watu kutokuwa na nguvu na mamlaka ya
kufanya maamuzi.
Mwisho wa yote alizungumzia mambo
ambayo tukifanya yatatuondoa katika
tatizo la umaskini:
-Watu kuwa na hari ya kufanya kazi na
uzalendo kwa taifa.
-Ardhi
-Uongozi ulio bora
-Katiba safi na bora.
Mzungumzaji mwingine alikuwa ni Dkt
Mwakyembe ambaye aligeukia upande wa
vijana hususani wa vyuo vikuu,kwa
kusema wao ndio wenye nguvu kubwa ya
kuleta mabadiliko katika nchi yetu.


Post a Comment

3 Comments

Anonymous said…
jamaa hawa wa facebook wanaongea jambo la busara kuweka kero zao.. mimi nipo arusha sijawahi kuona mwananchi ameandamana then jesh la police wakamuacha.. nikwamba jeshi la police ni vibaraka wa watu fulani katika ngazi fulani. watanzania wa sasa si wale wa 1955 tena. mimi naitwa Sendoro Sengo. pandea za Arusha.. tunapata blog ya jamii kama kny
Anonymous said…
hiyo kweli.. jamani
Anonymous said…
jamani naombeni na mimi kujiunga na realfriend.. maana kundi hilo kiboko ya maumivu...