MAISHA KWA MTANZANIA WA HALI YA CHINI KWA SASA YAMEKUWA MAGUMU. KUTOKANA NA KUPANDA KWA BIDHAA. MBALIMBALI SASA IMEKUWA MWIBA WA MWANANCHI WA HALI YA CHINI. ILA KUTOKANA NA WATU FULANI KUTOMJALI MWANANCHI. SASA IMEFIKA WAKATI HATA WEWE MTANZANIA UTAAMBIWA HATA KUPITA KWA MIGUU BARABARANI ULIPE USHURU. NA HIYO INACHANGIWA UTUMWA UNAOENDELEA KIDOGOKIDOGO. NA SITOWEZA KUILAUMU TANESCO. KIUKWELI TANESCO WANAPATA HASARA. KUPITA KIASI. LABDA INGEKUWA WEWE. UMEENDA KUNUNUA MACHUNGWA KWA AJILI YA WEWE KWENDA KUUZA. MFANO KILA CHUNGWA UKANUNUA SH.100 NA WEWE UKAENDA KUUZA KILA CHUNGWA SH 50 JE UTAPATA FAIDA? NADHANI JIBU UNALO WEWE MTEMBELEAJI. HALI INACHANGIA TANESCO KUFILISIKA KWA KUWA WANANUNUA KWA BEI KUBWA MATIRIAL THEN WANAUZA NDOGO.
0 Comments