MWANGAJAMII KUTANGAZA VITA NA JESHI LA POLISI...MAENEO YA UBUNGO.

HII  NAKALA  NIMEAMUA  KUANDIKA  NIKIWA  NA  MASIKITIKO  MAKUBWA  SANA.  KWA  MUJIBU  WA  NAKALA  HII  INAGUSA  MOJA KWA MOJA  KWA  JESHI LA  POLISI.






LABDA  KABLA  YA  KUANZA   SIMULIZI  LA  MKASA  ULIOMPATA  NDUGU  YANGU  MAENEO  YA  UBUNGO.  NITAANZA  SWALI   LANGU  MUHIMU.. (1) JE KISHERIA  KAMARI  INARUHUSIWA?  (2)JE  WASHEZESHA  KAMARI  WANARUHUSIWA  KUPEWA  KIBALI?..(3) NA  KAMA  WANARUHUSIWA  KUNA  HAJA  GANI  YA  KUWAKAMATA MAJAMZI KWA  HATA  WAO  PIA  SIWANGEPEWA  KIBALI?...(4)MWISHO  JE  KUNA UMUHIMU  GANI  WA  KUWA  NA  JESHI  LA  POLISI  KATIKA  KILINDA  RAIA?




MOJA  KWA MOJA  NAKWENDA  KUTOA  SIMULIZI..  NDUGU  YANGU  HUYU  ALITOKA  MOROGORO  KIKAZI.  BAADA  YA  KUFIKA  MAENEO  YA  UBUNGO PALE  YANAPOPAKI  MAGARI  YAENDAYO  MBAGALA, MLANDIZI. ALIKUTA  KUNA  TURUBAI.  KWANI  ILIMBIDI  ASOGEE  NA  KUTIZAMA  KINACHOFANYIKA..  NA  ALIPOFIKA. ALISIMAMA.  BAADA  YA  KUSIMAMA MBELE  YA  TURUBAI. ALIGUNGUA  KUWA  KUNABAHATI  NASIBU  INAYOCHEZESHWA.  KISHA  WALE  WACHEZESHAJI  WALIMPA  KARATASI  YENYE  NAMBA.  WAKAMWAMBIA  ATOE  SHILINGI 1000  ILI AJARIBU  BAHATI  YAKE.  NA  NDIPO  ALIPOTOA   WAKAMWAMBIA  AMESHINDA.  WAKAANZA  KUMSUKUMA  ILI  AINGIE  NDANI.  BAADA  YA KUINGIA  NDANI.  NDIPO  WALIPOWAMBIA  ILI  TUKUANDIKE  JINA.  INABIDI  UTOE  SHILINGI  10000.  ILI WA MKABIDHI ZAWADI. THAMANI YA  SHILINGI  500,000 KWANI  ALITOA. BAADA YA  HAPO  WALIZIDI  KUONGEZEA VITIMBIA  NA  HATIMAYE  KUFIKIA  SHILINGI 50,000 NA  BAADA  YA  KUGUNDUA.  KUWA  AMESHAISHIWA  WALIMUAMURU ATOKE  NJE  YA  TURUBAI. NA  BAADAYE  WANAMWAMBIA.  ACHEZE  TENA  KWA  ALIKATAA.  NA NDIPO  WAKAMFUKUZA.. WAKATI  AKITAFUTA  MSAADA  ILI ARUDISHIWE  FEDHA  ZAKE. WALE WACHEZESHA  KAMARI  WAKAMWAMBIA.  NENDA  KOKOTE. UKASTAKI.  SISI  KIBALI TUNACHO...  NDUGU  YANGU  HUYO HAKUCHOKA ALIJARIBU  KUULIZA  KITUO  CHA  POLISI. NA  ALIELEKEZWA  KILIPO. ILA  MIFUKONI ALIKUWA  HANA  KITU.  YAANI  HATA  NAULI.  NDIPO ALIKUWA  AKIVUKA  BARABARA ALIKUTANA NA WALE ASKASI  WANAOKAMATA  PIKIPIKI.  ALIWAOMBA   WAMSAIDIE.  WALE  ASKARI WAKAMWAMBIA  AKACHUKUE  RB. PALE. TEMINAL. ALIELEKEA.  MPAKA  PALE WANAPOINGIA WATU. NA  ALIPOFIKA   WALIMKATALIA KWA  KUWA  HANA  PESA  YA  USHURU. IKABIDI  AWAELEZEE  TATIZO  LILILOMPATA.  JIBU  LAO  WALIMWAMBIA   HUTOWEZA  KUWASTAKI WALA  KUWAKAMATA.  KWAKUWA  KIBALI  WANACHO.  ALISHINDWA  KUENDELEA NA  MCHAKATO  WA  KUTAFUTA  HAKI  YAKE. NA  NDIPO  ALIPOAMUA  KUJA KUNISIMULIA.  ILINIUMA  SANA    MOJA KWA MOJA   NIKAJUA  HAKUNA  JESHI  LA  POLISI  TANZANIA  ILA  KUWASHENZI TU.  KWA  SABABU  WALE  ALIWAOMBA  MSAADA  KWANINI  WASINGETOA   MSAADA?  MOJA  KWA MOJA  NAPENDA  KUSEMA  HIVI...UNAPOWAAMBIA  WANANCHI WASICHUKUE  SHERIA  MKONONI  MNAKUWA  MNAKOSEA.  NA  NIMEGUNDUA  KUWA WANANCHI WAKICHUKUA  JUKUMU  LA  KUMUHUMU  MWIZI  AU TAPELI  MNAKUWA  MNAKOSA  KULA. NA  KILE  KITUO  CHA POLISI  KILICHOPO  UBUNGO  NA  WALE  WATOZA  USHURU  NI  WEZI.  WEWE  KAMA  MTOZA  USHURU  KWANI   USIMPE  RUHUSA. MUHUSIKA  AKATATULIWE  TATIZO.  KIUJUMLA  WOTE  NJAMA  NI  MOJA.    NA NINATANGAZA  VITA  DHIDI  YA  JESHI  LA  POLISI  LA  UBUNGO  NA  HAO  MATAPELI WA  KAMARI.  NA  DAIMA  MWANGAJAMII  HAITAWEZA KUVUMILIA  UPUUZI  NA  UJINGA.  UNAOFANYWA.


                                                                 ONYO
MWANGAJAMII  HAIWEZI  KUMUOGOPA  YEYOTE  YULE. HERI  MMOJA  AFE  WENGI  WABAKI.

KAMA  UNAMAONI  USHAURI  TUMA MESAGE  YAKO  KWA  BARUA  PEPE.  mwangajamii@yahoo.com

Post a Comment

7 Comments

Anonymous said…
du hiyo kali kweli kaka. ila siku nyingine atakuwa makini. nchi imeuzwa hii. kila mtu anajua tumbo lake. ila nampa pole sana.
Anonymous said…
nampa poe sana.
Anonymous said…
ndio kwd yao. polisi pia wezi.
Anonymous said…
du!!!!!!!!
Anonymous said…
mwangajamii fanya mambo
Anonymous said…
serikl imetawaliwa na rushwa. kumbuka wanakuwambia takukuru kumbe takukuru ni sehemu ya kukimba midomo kama mamba.
Anonymous said…
kapatikana huyo