KWA MAZINGIRA MENGINE INATUBIDI TUSIILAUMU SERIKALI. HIVI MAJUZI NILIKATIZA MAENEO YA SOMANGA PALE MAKABURINI KIUKWELI MAZINGIRA NI MACHAFU SANA. HII INATOKANA NA WANANCHI WENYEWE KUSHINDWA KUJIELEWA KUWA MUDA WOWOTE KUNAWEZA KUIBUKA MAGONJWA YA TUMBO. KAMA KIPINDUAPINDUA. INANISIKITISHA SANA ENDAPO NITASIKIA MWANANCHI ANALALAMIKA KUWA. SERIKALI HAIMTENDEI HAKI BILA KUFAHAMU KUWA YEYE MWENYEWE NDIO CHANZO CHA MATATIZO. KWA NAMNA HII JIJI HILI LA DAR ES SALAAM UCHAFU HAUTOWEZA KUTOKOMEA. MTANZANIA HII NA WEZA KUSEMA NI KUTOKUWA NA MPANGILIO WA MAISHA YA KILA SIKU.. NA UTUMWA SI MPAKA. KUTUMISHA NA BINADAMU MWENZIO HATA MAZINGIRA YANAWEZA KUKUFANYA UKAWA MTUMWA. LABDA UJANIELEWA. INAMAANA UKIPATWA NA MAGONJWA BASI WEWE NI MTUMWA WA MAGONJWA.
1 Comments