MBUNGE WA CHADEMA REJIA MTEMA AFARIKI DUNIA
CHADEMA WAMEPOTEZA KIUNGO KIKUBWA SANA KATIKA CHAMA.. KWANI TUKIMPENDA SANA. ILA MUNGU AMEMPENDA ZAIDI. MUNGU AMSAMEHE KWA MABAYA ALIYOTENDA NA AMBARIKI KWA MAZURI ALIYOFANYA. KWANI HAKUNA BINADAMU ALIYE KAMILIKA HAPA DUNIANI. MUNGU AILAZE ROHO YAKE PAHALI PEMA PEPONI. AMIN.
4 Comments:
mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi ,,
ni msiba mkubwa ndani ya chama cha chadema.
ila chadema moto ule ule,,
Tulimpenda lakini mungu alipenda zaidi.
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home