Lulu muombe mungu akusaidie utoke kwenye tatizo hilo kubwa
Kwa namna moja hadi nyingine nikwamba huyu msichana Elizabert. Analia kwa sababu tu ya uonevu. na ukichunguza zaidi anacholilia si kingine ni vile anavyofikiria maisha yake. endapo mahakama haitamtendea haki. kiukweli mimi siwezi kusema mengi. ila naomba kuuliza serikali ya jamuhuri ya muungano wa tanzania swala la lulu wanavyolichukulia kama dhabu yaani kumkandamiza kijana huyu wa kike. je mbona hawa wanaukula mabilioni hawafungwi na wala hawafatiliwi ila wananchi ndio wanabebeshwa mizigo mikubwa ikiwemo kupanda kwa maisha? Babo kule jela kunamsanii wetu babu sea wamemfungia kifungo cha maisha. je hawa mafisadi na babu sea ninani mwenye kuhukumiwa kifungo cha maisha? mpenzi msomamaji jiweke tayari kusoma habari hii kwa umakini hivi karibuni. kiukweli huyu sangara ni wakumua tu. la sivyo atatumaliza. pole sana Elizabert Lulu mungu atakusimamia na utatoka kwa nguvu zake.
0 Comments