MANENO YA STEVEN KANUMBA ENZI YA UHAI WAKE NA MOJA YA FILAMU ZAKE


steven kanumba  enzi  za  uhai  wake. hakika  maneno  na  kauli  zake  ni  kama  alitabiri

Post a Comment

2 Comments

Anonymous said…
mungu ailzaze roho yake mahali pema pema peponi amen.
Anonymous said…
Kwakweli kijana huyu ameniumiza sana, sikuwa na mazoea nae lakini kimwili na kiroho, nilipenda sana kazi zake, alivyoinua taifa letu katika sanaa, alivyokuwa na upendo bila ubinafsi, nadhani hata aliyemchukia kwa jasho lake mwenyewe ajue kuwa, mwenyezi mungu aliye hai yupo na bado yupo hai, siku moja watakutana. Walimnyima raha mtoto wa watu wakamsononesha moyoni, na kumtakia mabaya, wajue hata wao kabla safari yao ya mwisho haijafika, watasononeka tu, malipo ni duniani hapa hapa na si mbinguni. Kila siku namuombea na kuomba mwenyezi mungu amlaze mahali pema peponi. Ameni, tutakutana nae siku moy