Msione nawatukana nikwasababu mnawatesa sana watanzania. yaani nimeshangaa sana kuhusu kusherekea miaka 48 ya muungano. kwanza mnaposema muungano kwa asilimia mia moja hamjui maana yake. kwa mimi mr.mwangajamii nafahamu kuwa muungano ni kitu kimoja hadi kingine kuwa pamoja. sasa nyie kwa unafiki wenu mnatuambia miaka 48 ya muungano. ila mkiniambia ni muungano wa mafisadi nitawakubalia. hivi leo hii mtanzania kula yake mchana ni matatizo. kuishi kwake matatizo. pale bandarini mliko weka haka ka mtando kenu ka TRA kakuwachimbia watanzania kaburi na kuwafukia. kapo. sehemu nyingine ni swala lingine ni huduma za luku wewe mtanzania unanunua luku. na lazima utakutana hao machimba kaburi. ikiwemo Vat n.k Halafu leo hii muungano Muumgano ni wenu mafisadi. tena kwa taarifa yenu. mwangajamii itabaki kuwaambia ukweli. ni bora mniue kuliko mimi kuona mtanzania anakufa akijiona. Message sent kwa mafisadi woote wanaojifaha. kama kimekukera zaidi wasiliana nami.0713 883872
0 Comments