Mwangos |
NI SIKU CHACHE BAADA YA MWANDISHI MWENZETU KUPOTEZA MAISHA YAKE. KIFO KULICHO SABABISHWA NA JESHI LA POLISI NCHINI TANZANIA. KIUKWELI NI KUTENDO AMBACHO JESHI LETU LA POLISI LINAZIDI KUENDELEA... KAMA UNAKUMBUKA MPENZI MSOMAJI WA SAFU HII YA MACHONZI NDANI YA VYOMBO VYA HABARI.. KIPICHA CHA UCHAGUZI MKOA WA ARUSHA. KIUKWELI WALIKUFA WATU WASIO NA HATIA. NA SI ARUSHA TU. NA MAENEO MENGINE YA MIKOA NCHINI TANZANIA. UNAPOSEMA JESHI LA POLISI NI USALAMA WA RAIA NA MALI ZAO UNAKUWA UNAKOSEA. NI BORA UKASEMA HIVI.. JESHI LA POLISI NI ADUI WA RAIA NA MALI ZAO, HILO NDIO NENO. NASUBUTU KUSEMA TUMECHOSHWA NA HAWA POLISI WA CCM. WAMEVAA GWANDA ZA KIPOLISI NA KUMBE NI CCM. SIJAWAHI KUSIKIA MKUTANO WA CCM POLISI WAMELETA VURUGU LAKINI CHA KUSHANGAZA VYAMA PINZANI WAKIWEKA MIKUTANO TU. KOSA POLISI KILA KONA. NA INAONYESHA KUWA CHUKI MLIONAYO CCM ITASABABISHA UMWAGAJI WA DAMU KWA WATU WASIO NA HATIA. SASA NAPENDA KUTOA ONYO KWA JESHI LA POLISHI KUACHA TABIA ZA KISHENZI ZA KUUA WATU WASIO NA HATIA TUMEWACHOKA. MMEKUWA KERO KWA JAMII. NAONGEA KWA UCHUNGU KWA SABABU MNANYIMA UHURU WA VYOMBO HABARI. KWA SABABU TU VYOMBO VYA HABARI VINAWAANIKA MAOVU YENU. NA NDIO MAANA VYOMBO VINGINE MNAVIFUNGIA BILA YA SABABU ZA MSINGI. JAMANI BILA YA KUWAFICHA CHAMA CHA MAPINDUZI NI BORA MKUSANYE VIRAGO MUONDOKE..2015 TUNAUTAJI MABADILIKO NDANI YA NCHI MAANA MMEKUWA MIZIGO NDANI YA NCHI WENYE MATUMBO MAKUBWA. KAZI YA KUKUMBATIA MAFISADI NA MAKAMPUNI MIKATABA HEWA.. MAJUZI MMEMPIGA ULIMBOKA MKATAKA KUMUUA LEO MNATUULIA MWANDISHI WA HABARI TENA KWA MAKUSUDI YOTE HAYO WANANCHI TUNAYAONA.. TUNASEMA TUMECHOSHWA NA SERIKALI YA CCM SERIKALI YA MABAVU YA CHINI KWA CHINI. NAPENDA KUTOA ONYO KWA JESHI LA POLISI HATUA MLIOFIKA NI MBAYA ACHENI MARA MOJA. NAKUSEMA KWELI. WATANZANIA HAWANA IMANI JESHI LA POLISI TENA. MAANA POLISI WAMEKUWA NI ADUI WA RAIA NA MALI ZAO. KABLA YA KUMALIZA SAFU NAPENDA KUTOA SHUKRANI KWA ALIYESOMA SAFU HII YA MAJONZI YA MWANDISHI WA HABARI WA CHANEL TEN AMBAYE AMEPOTEZA MAISHA YAKE KWA AJILI VURUGU ZA KISIASA AMBAPO KIFO CHA MWANDISHI MWENZETU KIMESABABISHWA NA JESHI LA POLISI TANZANIA.. NA KWA KEBEI WANATUAMBIA JESHI LA POLISHI LAUNDA TUME YA KUCHUNGUZA MAUAJI YA MWANDISHI MWENZETU MR: MWANGOSI AMBAYE NI MWANDISHI WA HABARI WA CHANEL TEN. MUNGU AILAZE ROHO YA MWANGOSI MAHALI PEMA PEPONI.....(AMEN)
1 Comments
It looks like some of the written text within your content are running off the screen. Can somebody else please comment and
let me know if this is happening to them as well?
This may be a problem with my internet browser because I've had this happen previously.
Appreciate it
Feel free to surf to my site - how to get perfect skin