TAMADUNI ZA KIMASAI

Maasai 
 Masai  ni  moja  ya  kitambulisho  cha  taifa   na  inajulikana   kuwa  masai  kazi  yake  kubwa  ni  ufugaji,  ila  cha  ajabu  leo  utamkuta    masai  nae  analinda  nyumba  ya  mtu  na  wakati  kazi  hiyo  siyo  asili  yao.  yote  haya  yanachangiwa  na  hali  ngumu  ya  kimaisha  na  ukame  pamoja  na  matendo  mahovu  ila  hivi  karibu  nitaeleza  maana  ya  matendo  maaovu  na hali  ngumu  ya  kimaisha  inayowakumba  haya  ndugu  masai. Mwangajamii  itafuatilia  kwa  u,akini  zaidi, kuhusu  hii  jamii  ya  Kimasai.

Post a Comment

1 Comments

Anonymous said…
inachangiwa na ugumu wa maisha na serikali kuharibu mazingira ya asili ya tanzania na afrika