Kwa namna moja hadi nyingi sisi watanzania ndio tunasababisha umasikini kuendelea kuwepo. ninasema hivyo nikiwa na maana kuwa katika afrika nchi inayohesabika kuwa tajiri ni tanzania na ukisikia mtu anakuambia tanzania ni tajiri ujue akili anayo tena... kwanini nasema hivyo. sisi watanzania wenyewe ndio chanzo kwa 7babu ya kutokujua tuowachagua na tukiwachagua wakitenda maovu tunawaacha. kisha awamu nyingine wakimaliza madaraka tunawaongeza. ni bora mbuzi kuliko mtanzania asiyefikiri nini kifanyike ili kuondokana na hawa watu wanatusababishi umasikini... message sent kwa wote wanaohusika na vijitabia hivyo.
0 Comments