Nyoka huyu ni aina ya cobra ambaye huwa aonekani kwa urahisi kivile. picha ya nyoka huyu imenaswa na blog ya mwangajamii katika mtandao wa kijamii wa facebook. kwa namna moja ua nyingine unaweza kushangaa kuona nyoka ila usishangae ni maajabu ya mwenyezi mungu. hapo kando ni baadhi ya raia wakimshangaa.
0 Comments