TAHADHARI KWA WATUMIAJI SIMU:

TAHADHARI KWA WATUMIAJI SIMU
ZA MKONONI:
Simu zinatumia Mionzi ya
MICROWAVE ambayo huwezesha
kuunganisha simu yako kwenda
kwenye Mnara na mnara
... ... huunganisha Simu yako na
Mitambo
ya Mtandao wako ambapo pia
Hurudishwa kwenye mnara hadi
kwa
mtu Unaye mpigia. Microwave
ndio
njia kuu ya muunganisho huo.
Lakini
kunamdhara mengi mtu huyapata
kutokana na kuwa karibu na
Mionzi
hiyo ambayo hadi sasa bado
haijafahamika ni kwa kiasi Gani.
Uchunguzi umeonyesha kuwa
kuna
madhara mengi ya kiafya
tunayapata
kutokana na Matumizi ya simu.
mfano wa magonjwa hayo ni
1. KUUMWA KICHWA MARA KWA
MARA
2. PRESSURE YA KUPANDA NA
KUSHUKA
3. UVIMBE KWENYE UBONGO
4. KANSA
5. ALZHEIMER
6. NA MENGINE MENGI
Hatuwezi kujizuia kutumia simu
na
Hatuwezi kuzuia hiyo mionzi ya
MICROWAVE sababu ni sehemu ya
shughuri zetu za kila siku ila
tunaweza KUPUNGUZA. hapa
nawaletea Njia chache za
kupunguza
Mionzi ya MICROWAVE isituletee
matatizo makubwa zaidi.
1. Punguza matumizi yasio lazima
ya simu.Mfano Ongea mda mfupi
kwa kutumia simu sio muda
mrefu uweunaongea, Uchunguzi
umeonyesha kuwa ukiongea kwa
DAKIKA mbili haileti madhara,
(Alter natural electricity of the
Brain)
2. Watoto wasiruhusiwe kutumia
Simu bali pale tu inapobidi.
3. Tumia Earphone za wireless
mfano za bluetooth. ni nzuri zaid
kuliko za
wire,Earphones za wire
zinaongeza wingi wa mionzi
sababu pia zinatumika kama
antena ya simu,
4. Usiweke simu kwenye Mfuko
wa
suruari au shati au
kiunoni,sehemu za mwili
zinapitisha mionzi vizuri zaidi
sababu pia ni njia ya neva za
ubongo na chini ya mwili.
5.Usitumie simu kwenye chumba
kidogo au lift au gari. Sababu
Simu itatumia nguvu nyingi
kuvuta mionzi ili kuwezesha
mawasiliano.
6. Ukipiga simu subiri hadi mtu
apokee ndipo uweke sikioni
kusikiliza na sio wakati ina
connect.
7. Usipige simu kama network ipo
chini au signal inaonyesha bar
moja au ndogo, simu itavuta
mionzi zaidi ili kufanya
mawasiliano
8. Ukinunua simu hakikisha
unasoma kama ina LOW SAR
(Specific Absorbtion Rate) Ni
kipimo cha kupokea mionzi ya
simu.Za nokia zinazo ila za
Kichina HAZINA.
9. Tumia vifaa vya kupunguza
Mionzi vinapatikana madukani
(vinawakawaka taa hivi)
10.Weka simu atleast 3.4 inches
kutoka kwenye sikio
11. Jitahidi kutumia Earphones
muda
wote unapotumia simu
12. Tumia speaker
phone."Loudspeaker "
13. Text zaidi kuliko kupiga simu .
14. Jitahidi usitumie muda
mwingi
kwenye simu kama umeiweka
kwenye
sikio
15. Jitahid kuiweka mbali na
reproduction
organs zako hasa kwa wanaume
ambao hatujapata watoto.
16. La mwisho kula vizuri
ilikuongeza
Viatamin

Post a Comment

0 Comments