MAMA MCHUNGAJI ENCY MWALUKASA AKIHUBIRI,.
.................................................................................................................................................................
................................................................................................................................................................
KUTOKA HUDUMA ZA LACTAN (Light and comfort to all Nations Ministries)
TWAMPA BWANA UTUKUFU NA KUMSHUKURU KWA ALIYOTENDA AMERICA.
nimekuwa usa kwa miezi miwili April hadi June.
Nilitembelea
majimbo matano. jimbo la Florida mji wa St. Peters burg wamerakani
weusi ambako kuna mama aliyetembelea magongo mguu uliovunjika alipona,
na pia bubu aliongea. 2. JImbo la massachusset Boston kanisa la
Watanzania wakenya na wacongo na warundi, Texas Dallas , jimbo la
Maryland na Washington D.c nikihudumu kwa kuimba kuhubiri na kuombea
wenyeshida
Wengi
walimrudia Mungu, walifunguliwa na nguvu za giza, walipoke jumbe za
unabii na maneno ya maarifa, na makanisa yalijengwa kwa mafundisho na
maombezi kupitia Huduma ya Mchungaji Ency Josiah Mwalukasa
....................................................................................................................................................................
PASTOR ENCY PREACHING IN AMERCA IGC CHURCH BOSTON: |
0 Comments