Gari la jeshi la wananchi likiwa linajiandaa kutuliza ghasia maeneo ya kariakoo jijini Dar es salaam |
Ni baadhi ya wananchi wakiwa kwenye harakati za kutawanyika baada ya jeshi la polisi kutangaza kuwa watu watawanyike. |
Polisi wakiimarisha ulizi eneo la kariakoo. |
Kijana huyu alinaswa na jeshi la polisi wakati akiwa kwenye harakati za kukimbia. |
Mama huyu alipoteza fahamu baada ya milio ya mabomu kurindima maeneo ya kariakoo. |
Jeshi la polisi likiwa kazini. |
Ni baadhi ya watuhumiwa wakirukishwa kichura kuelekea kituo cha msimabazi. |
0 Comments