nyumba inapangishwa upande wa mbele mzima, pia ni sel-conteined, ina vyumba viwili, store, umeme, maji, geti kwaajili ya usalama wa mali zako na nyumba iko msasani karibu na beach na shule ya msingi ya msasani A na B. Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba: 0716-808016 BEI YA KUPANGISHA Tsh.300,000/= KWA MWEZI MMOJA
1 Comments