KWA JINA ANAITWA STELLAH .L. MAPUNDA
ni mtoto yatima hana mama wala baba
anahitaji kusoma. kikubwa na msaada wa kuweza kumpeleka shule. garama ya
ADA KWA MWAKA NI TSH 550,000/= Nitashukuru endapo atafanikiwa kwenda
shule.
pia nitashukuru kwa msaada wako.
by
ANNALICE
Mwangajamii iliweza kupenya na kukutana na mdau ambaye aliweza kuongea live. na kutokana na mwangajamii kutaaka kujua ukweli ilibidi mtoto huyo kutafutwa na hatimaye kuhojiwa na mwangajamii kwa maneno machache na hatimaye vilevile mwangajamii imeamua kuleta maombia ya kumsaidia mtoto huyo. Na Vilevile Mdau huyo wa mwangajamii Ambaye Jina lake ni ANNALICE. aliweza kuiambia mwangajamii mtoto huyo anandoto njema ya kutaka kusoma. lakini kwa kuwa wewe mtanzania ukiwa kama Baba, Mama, Dada au Kaka Mtoto STELLAH .L. MAPUNDA anaomba umsaidie na anategemea msaada toka kwako. JAMANI NDUGU ZANGU WATANZANIA MNAWEZA KUWASILIANA MTU WAKE WA KARIBU ZAIDI AMBAYE NI
(ANNALICE.) KWA simu namba (+255)0718 005594 Wateja wa tigo
(+255)0762 801030 Wateja wa vodacom
(+255)0783 586290 Wateja wa Airtel
by
ANNALICE
0 Comments