Chakula kinavyoharibikia sokoni Afrika :

Msanii na mwimbaji mashuhuri nchini Kenya Emmy Kosgei aligeuka muuza nyanya katika soko mashuhuri la mboga na matunda Nairobi, Marikiti:       
 
 
Je unafahamu kiwango cha chakula ambacho huharibiwa sokoni na ambacho ikiwa kingefika kwa meza za watu, basi nchi nyingi Afrika zisingekuwa na njaa?
Amini usiamini jambo hili hufanyika katika masoko mngei barani Afrika mji wa Nairobi ukiwa haujaachwa nyuma.
Mwaka huu dunia ilipoadhimisha siku ya mazingira duniani, wasanii mashuhuri mjini Nairobi Kenya walijitokeza kuhamasisha wafanyabiashara sokoni nyenzo za kuzuia kuharibika kwa chakula kikiwa sokoni huku nao wakigeuka wafanyabiashara kwa siku hiyo.
M,pango wa umoja wa mataifa wa kulinda mazingira UNEP, ndio ulidhamini mradi huo maalum. Shirika hilo linasema kuwa karibu thuluthi moja ya chakula katika mataifa ya kiafrika kuharibiwa hata kabla ya kufika sokoni.
 ZAIDI BONYEZA HAPA
Msanii na mwimbaji mashuhuri nchini Kenya Emmy Kosgei aligeuka muuza nyanya katika soko mashuhuri la mboga na matunda Nairobi, Marikiti

Post a Comment

0 Comments