TRAFIC NA MADEREVA KUENI MAKINI. ILI KUEPUKA AJALI KAMA HIZI.




HILI  NDIO  LORI LILILOSABABISHA  WATU  WAPATAO  WANNE  KUPOTEZA  MAISHA    AMBAPO  INASEMEKANA   TRAFIC ALISIMAMISHA  LORI  HILO  GHALA   KITENDO   AMBALO  DEREVA  ILIMLAZIMU  KUSHIKA  BREKE  GHAFLA  NA  KUSABABISHA  GARI  KUPOTEZA  MUELEKEO.  NA  KUGONGA  PIKIPIKI  PAMOJA  NA  GARI  ZINGINE.

Post a Comment

0 Comments