HAYA NDIYO MAMBO YALIYOTOKEA HUKO MWANZA. BAINA YA MACHINGA NA POLISI.

machinga









Kijana akikimbia na televisheni anayodaiwa kupora katika duka la Zara Solar Limited lililopo Barabara ya Nyerere jijini Mwanza baada kutokea vurugu za wamachinga na polisi jana.(Picha: Cosmas Mlekani)

 . Wengi wajeruhiwa kwa risasi za moto, wawili wako hoi ICU
  .Yachomwa, maduka yavunjwa, ngawira zaporwa
Milio ya risasi, mabomu ya kutoa machozi ilitawala Jiji la Mwanza wakati Polisi walipopambana na wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kwa jina la wamachinga, walioasi      wakikataa kufukuzwa katika mitaa ya jiji hilo kufanya uchuuzi.

Post a Comment

0 Comments