NYUMBA INAUZWA MBEZI LUIS KWA FUNGO MIL.50
Ipo maeneo ya Mbezi luis kwa fungo,unaingia ndani kidogo toka Morogoro rd.Nyumba ni self-3 bed rooms,kitchen,toilet,store,sitting room na ina vyumba vya uwani v3,choo cha nje,pia inauwanja mkubwa wa kujenga nyumba kubwa ukuta na parking ya magari ndani ya gate.
Umeme ni LUKU.
Bei ya kuuza ni mil 45.Mazungumzo yapo hapo mtakapokutana muuzaji na mnunuzi.
Kwa maelezo zaidi piga simu no.+255659937711/ 0655015461 au wasiliana nami kwa barua pepe hapo chini.
mwangajamii@yahoo.com
0 Comments