TANGAZO KWA GAZETI LETU LA MWANANCHI.

Kulingana  na  malalamiko  yaliyotolewa  na  wasomaji  wa  gazeti  la mwanachi.  napenda  kuwataharifu  kuwa  nafasi za  kazi  mlizoweka  zimepitwa  na  wakati  kwani..wasomaji  wengi  wamekuwa  wakipitia  habari  hizo  za  nafasi  za  kazi  na  kuzikuta  ni  hizohizo  nikwamba  hakuna  mabadiliko  yeyote  yaliyofanywa na  wamiliki  wa gazeti  la  mwananchi.  mfano: soma  lalamiko  hili.

shamte says:
TOENI MATANGAZO YALIYOPITWA NA WAKATI
MWENYE JUKUMU HILI Naomba afanye kazi yake kama alivyo agizwa ili kutusaidia TUSIO NA AJIRA:   hayo  ni  maoni  baadhi  tu  niliyo yapata  ndani  ya  barua  pepe  yangu..  ndipo  nikaona  nibora  niwasaidi  kutangaza  tatizo  hilo  ndani ya mwangajamii.....  
Tangazo  hili  nimeliweka  kwa  niaba  ya  wasomaji  woote  wa gazeti  la  mwananchi.

Post a Comment

4 Comments

Anonymous said…
Inaonekana hawako care na kazi yao..kwani hayo matangazo wamelazimishwa kuyaweka au ndio kusumbua jamii kuwa kuna ajira utapeli acheni bwana mnakuwa kama watu fulani
Anonymous said…
mfano kuna matangazo mengine yalisha pitwa na wakati wake lakini mpaka leo hakuna wa kuapdate na sijua wanamatatizo gani na kwa kma wameshindw watupatie kazi hiyo ya kuapdate. tunaomba mtoa hayo matangazo yaliyopitwa na wakati.
Anonymous said…
kiukweli ni kero kwa sisi tunaotafuta ajira.. alafu tukijaribu ajira zenyewe purukusha2
Anonymous said…
kero tupu!!!!!!!!!!!