MTINDO MPYA WA KUUZA JUICE HUKO KWA WENZETU....
OLE WENU MNAOPENDA KUIGA MTACHEZEA VIBOKO.. MWANGAJAMII ITAKUFIKIA
| MITINDO |
Sasa kazi kwenu kwa wale watanzania wakuiga.. badili ya kubuni mbinu zao binafsi.
Kwa mwenzetu hapo ni mbinu tu ya kujitafutia riziki yake.. na sio kama unavyofikiria wewe katika picha..maana wabongo kwa kubandika fikra tofauti mnaongoza.... huo ni mtindo tu..... kama na wewe unaweza jaribu... ila usilalamike!!!!..maana kuna mbwamwitu wamejaa bongo.. !!

0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home