"JAMANI WALIMU WOTE WENYE VIJITABIA VYA AJABU KAMA VIPI MNATEGEMEA NINI KWA WANAFUNZI MANAOWAFUNDISHA?"
Post a Comment
7
Comments
Anonymous said…
hahahahahahaha hiyo kali sasa. lakini ni maalumu kwa wale wenye tabia kama hizo.
Anonymous said…
elimu ipo ila ni baadhi tu ya walimu ndio wenye tabia za kishenzi kama hizi.
Anonymous said…
hawa walimu wakifanya kama hivyo huwa wanajifiria nini?
Anonymous said…
ndugu yetu mbona unatukana tena..? punguza jazba. haya ni maoni 2
Anonymous said…
kiukweli tanzania kwa mpango huo hatufiki.elimu bora na c bora elimu.
Anonymous said…
OBAMA maana yake ni MABADILIKO! Kwa lugha ya wenzetu change.ALBERT tulimwita OBAMA tukimaanisha kuja kwa mabadiliko katika jimbo. OBAMA wetu tunamjua ni mwanaharakati,mzalendo na mchapakazi na ndio maana tukamwita OBAMA jina la kiongozi maarufu duniani aneye ongoza taifa kubwa la WAMAREKANI. Taifa litajengwa na vijana wenye nguvu sisi wana KIGOMA tunafahamu hivyo na ndio maana tunaye MKOSAMALI,MACHALI,DAVID na mzee wa mageuzi KABWE ZITTO hawa ni vijana nguvu ya TAIFA ndani ya mjengo.
7 Comments
OBAMA wetu tunamjua ni mwanaharakati,mzalendo na mchapakazi na ndio maana tukamwita OBAMA jina la kiongozi maarufu duniani aneye ongoza taifa kubwa la WAMAREKANI.
Taifa litajengwa na vijana wenye nguvu sisi wana KIGOMA tunafahamu hivyo na ndio maana tunaye MKOSAMALI,MACHALI,DAVID na mzee wa mageuzi KABWE ZITTO hawa ni vijana nguvu ya TAIFA
ndani ya mjengo.