Kama unatafuta kazi za site au ujenzi wa wale mafundi na wasaidizi usipate shida. Hotltan iliyoko Msasani mwisho ni campuni ya ujenzi inayowajali wafanyakazi wake.. kwa hali ya juu sana.. kwa inajali usalama wako. inajali na mshaara wako.. labda nikudokeze kwa wale wasaidizi hulipwa shilingi 5000 kwa siku na kumbuka shilingi mia 500 itakatwa kwa ajili ya unicef na pindi ufanyapo kazi kwa muda wa miezi 3 na kundelea. pesa yako shilingi500 itakuwa imehifadhiwa .. kumbuka pindi uachapo kazi katika kampuni hiyo utapewa mafao yako.. kikuwa tu uwe umefanya kazi kwa muda wa miezi 3 na kuendea... au wasiliana nami kwa simu no.0655-015461 kwa maelezo zaidi.. Elimu yako.. ni kuanzia darasa la saba na kuendelea..
0 Comments