HIZI TIMU MBILI HATARI AU KWAJINA MAHARUFU WATANI WA JADI. HAPO JANA WALIPOKUTANA KATIKA UWANJA WA TAIFA NA KUTIMU VUMBI LA KUKATA NA SHOKA. PONGEZI SANA YANGA AFRICAN
Endeleeni kukaza buti na si mbwembwe za midomo kinachotakiwa ni vitendo ndani ya mpira..
pongezi sana ziende wachezaji pamoja na mashabiki wote wa timu yetu ya yanga african
POLENI SANA YA SIMBA
Kumbuka kushindwa na kushinda kote ni sawa na kumbua kuna kupata na kukosa katika soka. kukosa leo ndio kupata msimu unaokuja. Timu yetu ya simba kumbukukeni hilo.
0 Comments