KERO KWAKO WAZIRI WAUJENZI
KAMA WANANCHI WOTE WATANZANIA KUULIZA JE ALAMA YA X MBONA IMETAWALA SANA MIKOA YA KILIMANJARO NA ARUSHA? NA SIYO HIYO TU NI NCHI NZIMA.. TUNAULIZA JE HII NDIO MBINU MPYA YA UJENZI..? HAKUNA UTEKELEZAJI ISIPOKUWA ALAMA YA X IMETAWALA KULIKO UBORA WA BARABARA?
WAPENZI WADAU KARIBU NITALETA PICHA HALISI YA MAISHA YA KIJIJI CHA JIPENDEA. MKOANI KIMANJARO WILAYA YA MWANGA.

0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home