Kutokana na mwangajamii kutokuweka habari kwa muda wa week mbili.. inawaahidi kuwaletea mkusanyiko wa habari za kila week.. imebadili mfumo wa kila siku sasa itakuwa ikiweka habari za kila week... unashauriwa kutembelea blog hii kila baada ya week ila kwa maoni ushauri usisite kutuandikia barua pepe..E-mail..mwangajamii@yahoo.com au simu no.0655 015461
0 Comments