Watanzania nataka kuwaambia tujifunze kutokana na makosa.. tumepoteza ndugu zetu. nikwasababu ya uzembe wa wananchi uongozi wa meli na serikali.. kutokujua nini maana ya ajali.. na naweza kusema si kila kitu kumsingizia mwenyezi mungu.. hapana.. nikwamba pale utakapokuwa na umakini na unachokifanya na kuepuka matatizo hata mungu mwenyewe atakusimamia.. naweza kusema shirika la meli na sumatra waliopewa wadhfa ndio wametusababishia kupoteza ndugu zetu..
0 Comments