KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE. INAADHIMISHWA NA WANYONGE TU. NA SI KWA MATAJIRI.. KWA UCHUNGUZI NILIOUFANYA NIMEGUNDUA KUWA MAADHIMISHO HAYA YALIKUWA NI KERO KWA MAFISADI NA SI FURAHA.. INA KWA ASILIMIA 99% MASIKINI NDIO WALIADDHISHA NA ASILIMIA 1% PEKEE NDIO HAWAKUADHIMISHA NA UKIJIULIZA NI KWANINI.. JIBU NIKWAMBA WAMECHOKA KISAIKOLOJIA NA KUCHOKA SERIKALI ILIYO MADAKANI. NA HIYO NI KWA WALE WALIO AMBIWA WATATOLEWA AJIRA. INANIUMA SANA. PALE NILIPOONA KATIKA CHOMBO KIMOJA CHA HABARI HAPA TANZANIA KILIRUSHA KUANZIA SAA NNE NA KILICHONILENGA NI NENO ALILOZUNGUMZA . NENO HONGO.. NA NENO UBEPARI NIKAGUNDUA UJUMBE HUO ULIWAGONGA WATU FULANI. ILA WANAJIJUA WENYEWE.. NA NIKISIKIA MANENO WANAMUENZI KIVITENDO MOJA KWA MOJA NI WANAFIKI.. SITOWATAJA, KWA KUWA WANAJIUA. POLENI SANA WATANZANIA KWA MZIGO MLIONAO IKIWA PAMOJA NA MIMI.. ILA NENO LANGU LA MWISHO NASEMA HIVI. KIUKWELI VIONGOZI WALIOMUENZI MWALIMU NYERERE NI ASILIMIA %10 PEKEE WALIOBAKI NI USHABIKI NA UNAFIKI. UMEWAJAA. AHSANTENI SANA NDUGU WATANZANIA |
|
|
0 Comments