NIMEFURAHISHWA NA KAMPUNI MOJA HAPA TANZANIA KWA KUWEKA KONDOMA KAMA CHOMBO CHA USALAMA. YAANI SEEFT... IKIWA KAULI YA KAMPUNI HIYO IKISEMA USALAMA KWANZA. NA KAMPUNI HIYO INASHUGHULIKA NA MASWALA UA UJENZI.. IMENIFURAHISHA LAKINI BADO IKANIACHA KWENYE MASWALI MENGI.. LIKIWEMO... HILI JE WANARUHUSU MAFUNDI WA AINA ZOTE NA WASAIDIZI/ELPER KUFANYA NGONO..? NA NIKIBAKI KUCHEKI PALE WALIPOSEMA KUWA ETI!!! KILA JUMA NNE SIKU YA USALAMA WATU WAPITE KONA ZOTE ZA VYUMBA VYA JENGO HILO KUOKOTA MABAKI YA CONDOM.. KIUKWELI NILICHEKA SANA.... JAMANI WATANZANIA.. SWALA LA CONDOM KUWA SEEFT KAZINI JE NI SAWA? NASUBIRI JIBU TOKA KWENU..
0 Comments