Msiba wa juzi uliniacha mdomo wazi kwa tanzania kushusha bendera nusu mlingoti. na hatimaye tukambiwa na serikali kuwa maombolezo siku tatu.. lakimi cha ajabu.. watu aliendelea na shughuli zao.. je kwa mfumo huo.. kuna maombolezo hapo.. hatuthaminiwi ila kwenye kampeni ndio tunathaminika. maana ni wakati wakutafuta kula.. jamani hata wimbo wa taifa.mmm!!!! serikali imetuchoka... ahsanteni.. kwa kutotujali wananchi wenu..
POLENI MKWA MLIOPOTEZA NDUGU NA JAMAA ZENU...
0 Comments