OBAMA maana yake ni MABADILIKO! Kwa lugha ya wenzetu change.ALBERT tulimwita OBAMA tukimaanisha kuja kwa mabadiliko katika jimbo. OBAMA wetu tunamjua ni mwanaharakati,mzalendo na mchapakazi na ndio maana tukamwita OBAMA jina la kiongozi maarufu duniani aneye ongoza taifa kubwa la WAMAREKANI. Taifa litajengwa na vijana wenye nguvu sisi wana KIGOMA tunafahamu hivyo na ndio maana tunaye MKOSAMALI,MACHALI,DAVID na mzee wa mageuzi KABWE ZITTO hawa ni vijana nguvu ya TAIFA ndani ya mjengo.
7 Comments:
hahahahahahaha hiyo kali sasa. lakini ni maalumu kwa wale wenye tabia kama hizo.
elimu ipo ila ni baadhi tu ya walimu ndio wenye tabia za kishenzi kama hizi.
hawa walimu wakifanya kama hivyo huwa wanajifiria nini?
ndugu yetu mbona unatukana tena..? punguza jazba. haya ni maoni 2
kiukweli tanzania kwa mpango huo hatufiki.elimu bora na c bora elimu.
OBAMA maana yake ni MABADILIKO! Kwa lugha ya wenzetu change.ALBERT tulimwita OBAMA tukimaanisha kuja kwa mabadiliko katika jimbo.
OBAMA wetu tunamjua ni mwanaharakati,mzalendo na mchapakazi na ndio maana tukamwita OBAMA jina la kiongozi maarufu duniani aneye ongoza taifa kubwa la WAMAREKANI.
Taifa litajengwa na vijana wenye nguvu sisi wana KIGOMA tunafahamu hivyo na ndio maana tunaye MKOSAMALI,MACHALI,DAVID na mzee wa mageuzi KABWE ZITTO hawa ni vijana nguvu ya TAIFA
ndani ya mjengo.
obama kichwa..
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home