Kulingana na malalamiko yaliyotolewa na wasomaji wa gazeti la mwanachi. napenda kuwataharifu kuwa nafasi za kazi mlizoweka zimepitwa na wakati kwani..wasomaji wengi wamekuwa wakipitia habari hizo za nafasi za kazi na kuzikuta ni hizohizo nikwamba hakuna mabadiliko yeyote yaliyofanywa na wamiliki wa gazeti la mwananchi. mfano: soma lalamiko hili.

TOENI MATANGAZO YALIYOPITWA NA WAKATI
MWENYE JUKUMU HILI Naomba afanye kazi yake kama alivyo agizwa ili kutusaidia TUSIO NA AJIRA: hayo ni maoni baadhi tu niliyo yapata ndani ya barua pepe yangu.. ndipo nikaona nibora niwasaidi kutangaza tatizo hilo ndani ya mwangajamii.....
Tangazo hili nimeliweka kwa niaba ya wasomaji woote wa gazeti la mwananchi.
4 Comments