Muhindi kafumaniwa na mke wa mtu. ila swali linabaki kwangu je mpango wa kutembezana uchi ndio maadli ya kiafrika. tena hii ni tabia ambayo ni sawa na ngozi ya mwili. wengi wenu mnapenda kuwa na kamsemo ngoja tumkomeshe ili iwe fundisho kwa wengine. bila kujua hata nyie mliomfumania mko katika kundi lao kiujumla hata nyie mnahaibika. watanzania kueni waungwana na kufuata maadili ya kiafrika. |
0 Comments