Mfanyakazi wa kampuni ya Clouds Media, Said Bonge 'Bonge' akirekebisha singe kwenye mnara wa askari katika makutano ya mtaa wa Samora na Azikiwe Dar es Salaam jana. Singe hiyo ilikunjwa wiki iliyopita na mtu anayedaiwa kuwa ni mgonjwa wa akili aliyetaka kuiangusha sanamu hiyo inayolitambulisha jiji la Dar es Salaam.(Na Mpigapicha wetu) |
0 Comments