Kitendo kilichofanywa na waziri wa ungereza kutukana Africa kwa kusema africa ikubaliane na kuwepo kwa haki na sheria za mashoga bila hivyo haitopata msaada .. hilo ni tusi kubwa sana kwa afrika.. nchi ya kwanza barani africa kukataa hiyo sheria …
mbele zaidi»>>>>>