June 08, 2012

CCM KUNGURUMA JANGWANI SIKU YA JUMAMOSI.

Chama  cha  mapinduzi  kinatarajia  kufanya  mkutano  mkubwa  wa  kujadili  katiba mpya, maisha  magumu,  pamoja  na  vurugu  zilizotokea  zanzabar na  kusababisha  mabilioni  yashilingi  kuteketea  kwa  kuungua na moto baada  ya  kundi linaloitwa muamsho  kuchoma  makanisa  na  mabaa. usikose  kuudhuria mkutano  huo.

June 06, 2012

TAMADUNI ZA KIMASAI

Maasai 
 Masai  ni  moja  ya  kitambulisho  cha  taifa   na  inajulikana   kuwa  masai  kazi  yake  kubwa  ni  ufugaji,  ila  cha  ajabu  leo  utamkuta    masai  nae  analinda  nyumba  ya  mtu  na  wakati  kazi  hiyo  siyo  asili  yao.  yote  haya  yanachangiwa  na  hali  ngumu  ya  kimaisha  na  ukame  pamoja  na  matendo  mahovu  ila  hivi  karibu  nitaeleza  maana  ya  matendo  maaovu  na hali  ngumu  ya  kimaisha  inayowakumba  haya  ndugu  masai. Mwangajamii  itafuatilia  kwa  u,akini  zaidi, kuhusu  hii  jamii  ya  Kimasai.

Tanzania Media Fund 2012 Fellowship Programme

Tanzania Media Fund 2012 Fellowship Programme