KWA JINA ANAITWA STELLAH .L. MAPUNDA ni mtoto yatima hana mama wala baba anahitaji kusoma. kikubwa na msaada wa kuweza kumpeleka shule. garama ya ADA KWA MWAKA NI TSH 550,000/= Nitashukuru endapo atafanikiwa kwenda shule. pia nitashukuru kwa msaada wako. by ANNALICE Mwang…
mbele zaidi»>>>>>