Msione nawatukana nikwasababu mnawatesa sana watanzania. yaani nimeshangaa sana kuhusu kusherekea miaka 48 ya muungano. kwanza mnaposema muungano kwa asilimia mia moja hamjui maana yake. kwa mimi mr.mwangajamii nafahamu kuwa muungano ni kitu kimoja hadi kingine …
mbele zaidi»>>>>>Lulu muombe mungu akusaidie utoke kwenye tatizo hilo kubwa Kwa namna moja hadi nyingine nikwamba huyu msichana Elizabert. Analia kwa sababu tu ya uonevu. na ukichunguza zaidi anacholilia si kingine ni vile anavyofikiria maisha yake. endapo mahak…
mbele zaidi»>>>>>