June 24, 2011

KWA MTINDO HUU KUNA HALI YEYOTE YA ELIMU KUWEPO TANZANIA?

"JAMANI  WALIMU WOTE  WENYE  VIJITABIA  VYA  AJABU  KAMA  VIPI  MNATEGEMEA  NINI  KWA  WANAFUNZI  MANAOWAFUNDISHA?"

June 22, 2011

HOUSE'S TOO CHEAP FOR SALE AT MBEZI LUIS..!!

         NYUMBA INAUZWA MBEZI LUIS KWA FUNGO MIL.50

 











Ipo maeneo ya Mbezi luis kwa fungo,unaingia ndani kidogo toka Morogoro rd.Nyumba ni self-3 bed rooms,kitchen,toilet,store,sitting room na ina vyumba vya uwani v3,choo cha nje,pia inauwanja mkubwa wa kujenga nyumba kubwa ukuta na parking ya magari ndani ya gate.
Umeme ni LUKU.
Bei ya kuuza ni mil 45.Mazungumzo yapo hapo mtakapokutana muuzaji na mnunuzi.
Kwa maelezo zaidi piga simu no.+255659937711/ 0655015461 au wasiliana nami kwa barua  pepe hapo  chini.
mwangajamii@yahoo.com
                      

June 21, 2011

TANGAZO KWA GAZETI LETU LA MWANANCHI.

Kulingana  na  malalamiko  yaliyotolewa  na  wasomaji  wa  gazeti  la mwanachi.  napenda  kuwataharifu  kuwa  nafasi za  kazi  mlizoweka  zimepitwa  na  wakati  kwani..wasomaji  wengi  wamekuwa  wakipitia  habari  hizo  za  nafasi  za  kazi  na  kuzikuta  ni  hizohizo  nikwamba  hakuna  mabadiliko  yeyote  yaliyofanywa na  wamiliki  wa gazeti  la  mwananchi.  mfano: soma  lalamiko  hili.

shamte says:
TOENI MATANGAZO YALIYOPITWA NA WAKATI
MWENYE JUKUMU HILI Naomba afanye kazi yake kama alivyo agizwa ili kutusaidia TUSIO NA AJIRA:   hayo  ni  maoni  baadhi  tu  niliyo yapata  ndani  ya  barua  pepe  yangu..  ndipo  nikaona  nibora  niwasaidi  kutangaza  tatizo  hilo  ndani ya mwangajamii.....  
Tangazo  hili  nimeliweka  kwa  niaba  ya  wasomaji  woote  wa gazeti  la  mwananchi.

[HUKO LIBYA TENA]>>Maofisa wa upinzani Libya ziarani Uchina

Mahmoud Jibril
Mahmoud Jibril
Afisa wa ngazi ya juu anayeshughulikia mashauri ya kigeni katika upinzani wa Libya amewasili Uchina kwa mazungumzo na serikali ya nchi hiyo.
Mahmud Jibril anatazamiwa kujadili jinsi ya kukomesha mgogoro nchini Libya, ambako Uchina ina hamu ya mafuta ya petroli.
Uchina inafuata ilichokiita sera ya kutoingilia masuala ya wengine pamoja na kutopendelea upande wowote katika masuala yanayoendelea katika nchi nyingine.
Wakati wa kura kwenye Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa juu ya kuamua kuishambulia Libya, kwa kutumia vikosi vya NATO na tangu hapo imeshutumu mashambulizi ya anga yanayoendeshwa na majeshi hayo.
mashambulizi ya NATO
Uchina ilipinga hatua ya NATO
Halikadhalika Uchina haijashiriki miito ya kumtaka Kanali Gaddafi ajiuzulu.
Hata hivyo, ziara ya Bw.Jibril kwa mujibu wa mwandishi wetu mjini Beijing itaonekana kama pigo jingine kwa Bw.Gaddafi na utawala wake.
Katika siku za hivi karibuni Uchina imekuwa ikijitahidi kuzipatanisha pande mbili zinazozozana huko Libya.
Maofisa wa Uchina wameisha fanya mikutano miwili na Mkuu wa Baraza la mseto la Libya, Mustapha Abdul Jalil.
Waziri wa mashauri ya kigeni wa Libya, Abdelati al-Obeidi, pia alikuwa mjini Beijing kwa siku tatu mapema mwezi huu ambapo Uchina ilizungumzia kusitisha mapigano kama muhimu kwa pande zote mbili.
raia  wa Libya Uchina
wa Libya wakiandamana Uchina
Uchina huenda ikatafakari kutoa mchango wa fedha kwa waasi. Italy,Ufaransa,Kuwait na Qatar zimejitolea kutoa mchango.
Uchina inaendesha biashara ya mafuta nchini Libya na iliwaondoa takriban wafanyakazi wake 30,000 mwanzoni mwa mwaka huu machafuko yalipozuka mnamo mwezi February.

Kwa habari zaidi bonyeza hapa ..

June 20, 2011

MTOTO WA AFRIKA MBONA WANATESEKA NA WAKATI AFRIKA NI YAKWAO!!!?

MTOTO  WA  KIAFRIKA  ANAANGAMIA  HUKU  SISI  AMBAPO  TUNANAFASI  TUNAWAANGALIA  NA  KUWATUNGIA  MAJINA  YA AJABU.  TUWASAIDIE  WATOTO  WA AFRIKA NAKUMBUKA WEWE  MAMA,BABA,KAKA DADA,KAMA  MAISHA  YAKO  NI  MAZURI  BASI  MCHUKUE  INGALAU  HATA  MTOTO  YATIMA  MMOJA. NA  MWINGINE  VIVYOHIVYO  YATIMA  WATAONEKANA  WAPI.  JIBU  NI  HAKUNA.. PLEASE  MWAFRIKA  MWENZANGU.. KUMBUKA  YOTE  LAKINI  YATIMA  NDIO IWE  JAMBL  LA  KWANZA.

Nikweli kwamba, maana halisi ya Yatima ni mtoto  aliyefiwa na wazazi.
Nenda ikawa kampotezapoteza mzazi mmoja, bado ataitwa Yatima wa mzazi mmoja.

Bila shaka wote twajua yakuwa Watoto hawa pia wanahaki yakuishi, ambayo haki hiyo inasisitizwa na Mungu baba mwenyewe; Kasema Yeye ni baba wa Yatima.

Watoto hawa, baada yakupoteza wazazi nakukosa msaada; hutafuta namna yakuishi.

Wanaposhindwa, kwakukosa mahali pakuishi nakulala, huondoka nakwenda mitaani kujiifadhi.
JAMBO LAKUSHANGAZA !

Kuliko sisi kuungana pamoja kwa pamoja, tuwasaidie Watoto hawa, tunawapa majina mengine kama
" Watoto wa mitaani "

Swali linakujaJe ? " KUNA MTAA WOWOTE UNAOFAHAMIKA, ULIOBEBA UJAUZITO NAKUZAA MTOTO? "
Jibu ni HAPANA.

hawa Watoto wanahitaji pia upendo wa kweli, nakutambuliwa na Jamii. na wanapokosa hayo, Huwasababishia maumivu moyoni; JAMBO ambalo ,kwakutaka kusahau kwa lazma, huwapeleka kuvuta Gundi, Bangi na Pombe.
Je? HATUWEZI KUWASAIDIA HAWA?
Ndiyo... Tunaweza KUWASAIDIA, kwakutumia kidogo kidogo tulicho nacho nakuwapa wao pia.

Kuwaonyesha upendo wa kweli nakuwafundisha maagizo ya Mungu; pia Kuwaonyesha maadhara ya madawa yakulevya.