MAISHA KWA MTANZANIA WA HALI YA CHINI KWA SASA YAMEKUWA MAGUMU. KUTOKANA NA KUPANDA KWA BIDHAA. MBALIMBALI SASA IMEKUWA MWIBA WA MWANANCHI WA HALI YA CHINI. ILA KUTOKANA NA WATU FULANI KUTOMJALI MWANANCHI. SASA IMEFIKA WAKATI HATA WEWE MTANZANIA UTAAMBIWA …
mbele zaidi»>>>>>Askari wa usalama barabarani mkaguzi, Kelvin Ponera akikagua gari lililopata ajali na kusababisha kifo cha mbunge wa viti maalum Chadema Mkoa wa Morogoro, Bi. Regia Mtema.
mbele zaidi»>>>>>