June 19, 2013

Chakula kinavyoharibikia sokoni Afrika :

Msanii na mwimbaji mashuhuri nchini Kenya Emmy Kosgei aligeuka muuza nyanya katika soko mashuhuri la mboga na matunda Nairobi, Marikiti:       
 
 
Je unafahamu kiwango cha chakula ambacho huharibiwa sokoni na ambacho ikiwa kingefika kwa meza za watu, basi nchi nyingi Afrika zisingekuwa na njaa?
Amini usiamini jambo hili hufanyika katika masoko mngei barani Afrika mji wa Nairobi ukiwa haujaachwa nyuma.
Mwaka huu dunia ilipoadhimisha siku ya mazingira duniani, wasanii mashuhuri mjini Nairobi Kenya walijitokeza kuhamasisha wafanyabiashara sokoni nyenzo za kuzuia kuharibika kwa chakula kikiwa sokoni huku nao wakigeuka wafanyabiashara kwa siku hiyo.
M,pango wa umoja wa mataifa wa kulinda mazingira UNEP, ndio ulidhamini mradi huo maalum. Shirika hilo linasema kuwa karibu thuluthi moja ya chakula katika mataifa ya kiafrika kuharibiwa hata kabla ya kufika sokoni.
 ZAIDI BONYEZA HAPA
Msanii na mwimbaji mashuhuri nchini Kenya Emmy Kosgei aligeuka muuza nyanya katika soko mashuhuri la mboga na matunda Nairobi, Marikiti

HABARI ZA KIMATAIFA


 

Mjumbe maalum wa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (SRCC) nchini Somalia, Balozi Mahamat Saleh Annadif ameshutumu vikali shambulio la kigaidi lililofanywa leo na magaidi wa Al-Shabaab katika makao ya Umoja wa Mataifa mjini Mogadishu.
"Tunalaani vikali shambulio hili la kinyama katika makao ya Umoja wa Mataifa mjini Mogadishu. Mashambulio haya yasiyofanikiwa yanayoendeshwa na Al-Shabaab yanalenga tu kuvuruga jitihada zinazochukuliwa na wananchi wa Somalia baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa zaidi ya ishirini na magaidi hao hawawezi kuzuia jitihada zetu za pamoja kuendelea kuwasaidia wananchi wa Somalia kuijenga nchi yao" amesema Mwakilishi Maalum wa Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika nchini Somalia (SRCC), Balozi Mahamat Saleh Annadif. 
kwa  habari  zaidi  BONYEZA HAPA

June 16, 2013

SAFARI YA MAMA WETU MPENDWA ENCY MWALUKASA ALIPOWASILI U.S.A

PASTER ENCY MWALUKASA

NIMEWASILI
MAMA  MCHUNGAJI  ENCY  MWALUKASA  AKIHUBIRI,.











.................................................................................................................................................................
................................................................................................................................................................
KUTOKA HUDUMA ZA LACTAN (Light and comfort to all Nations Ministries)
TWAMPA BWANA UTUKUFU NA KUMSHUKURU KWA ALIYOTENDA AMERICA.
nimekuwa usa kwa miezi miwili April hadi June.
Nilitembelea majimbo matano. jimbo la Florida mji wa St. Peters burg wamerakani weusi ambako kuna mama aliyetembelea magongo mguu uliovunjika alipona, na pia bubu aliongea. 2. JImbo la massachusset Boston kanisa la Watanzania wakenya na wacongo na warundi, Texas Dallas , jimbo la Maryland na Washington D.c nikihudumu kwa kuimba kuhubiri na kuombea wenyeshida
Wengi walimrudia Mungu, walifunguliwa na nguvu za giza, walipoke jumbe za unabii na maneno ya maarifa, na makanisa yalijengwa kwa mafundisho na maombezi kupitia Huduma ya Mchungaji Ency Josiah Mwalukasa

....................................................................................................................................................................


PASTOR ENCY PREACHING IN AMERCA IGC CHURCH BOSTON: