January 14, 2012

MBUNGE WA CHADEMA REJIA MTEMA AFARIKI DUNIA

CHADEMA  WAMEPOTEZA  KIUNGO  KIKUBWA  SANA  KATIKA  CHAMA..  KWANI   TUKIMPENDA  SANA.  ILA  MUNGU  AMEMPENDA  ZAIDI.   MUNGU  AMSAMEHE  KWA  MABAYA  ALIYOTENDA  NA  AMBARIKI  KWA  MAZURI  ALIYOFANYA. KWANI  HAKUNA  BINADAMU  ALIYE KAMILIKA HAPA  DUNIANI.  MUNGU  AILAZE  ROHO YAKE PAHALI PEMA PEPONI.  AMIN.