May 04, 2012

UMASIKINI TUMEUTAKA WENYEWE.



Kwa namna  moja  hadi  nyingi  sisi  watanzania  ndio  tunasababisha  umasikini  kuendelea  kuwepo.  ninasema  hivyo  nikiwa  na maana  kuwa   katika  afrika  nchi  inayohesabika  kuwa  tajiri  ni  tanzania  na  ukisikia  mtu  anakuambia  tanzania  ni tajiri  ujue  akili  anayo  tena...  kwanini  nasema  hivyo.  sisi watanzania  wenyewe  ndio  chanzo  kwa  7babu  ya kutokujua  tuowachagua  na  tukiwachagua  wakitenda  maovu  tunawaacha.  kisha  awamu  nyingine  wakimaliza  madaraka  tunawaongeza.    ni  bora  mbuzi  kuliko  mtanzania  asiyefikiri  nini  kifanyike  ili  kuondokana  na  hawa  watu  wanatusababishi  umasikini...  message sent  kwa  wote  wanaohusika na  vijitabia  hivyo.

NYOKA WA AJABU



Nyoka  huyu  ni  aina  ya  cobra  ambaye  huwa  aonekani  kwa  urahisi  kivile.    picha  ya  nyoka  huyu  imenaswa  na  blog  ya  mwangajamii  katika  mtandao  wa  kijamii  wa  facebook.  kwa  namna  moja  ua  nyingine  unaweza  kushangaa  kuona  nyoka  ila  usishangae  ni  maajabu  ya  mwenyezi  mungu.  hapo  kando  ni  baadhi  ya  raia  wakimshangaa.

HABARI ZA KIMATAIFA

Watu wasiopungua 17 wameuawa katika mashambulio ya mabomu ya kujitoa mhanga nchini Paskitan, katika mji mmoja karibu na mpaka wa nchi hiyo na Afganistan.


Eneo lililoshambuliwa na mlipuaji wa kujitoa mhanga nchini Pakistan
Eneo lililoshambuliwa na mlipuaji wa kujitoa mhanga nchini Pakistan


Maafisa wa serikali ya Pakistan, wamesema mshambuliaji huyo wa kujitoa mhanga alifika hapo kwa miguu na kujilipua karibu na kizuizi cha polisi katika eneo linalokaliwa na watu wa kabila la Bajur.
Wapiganaji wa Taliban wamekiri kutekeleza mashabulio hayo.
Aidha wamesema walikuwa wakimlenga afisa mmoja mwandamizi wa polisi ambaye ametekeleza mauaji ya raia kadhaa na kuwatia nguvuni idadi kubwa ya wapiganaji wao.

Maafisa wa ulinzi walengwa

Ripoti zinasema mshambuliaji mwenye umri wa miaka chini ya ishirini aliwalenga maafisa hao wa polisi mapema hii leo.
Watano kati ya waliouawa ni maafisa wa polisi na miongoni mwao ni afisa mkuu wa polisi katika kizuizi hicho na naibu kamanda wa polisi kutoka kabila hilo ambaye aliajiriwa na serikali, ili kusaidia katika mikakati ya kupambana na wapiganaji wa Taleban Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo.
Katika siku za hivi karibuni, maafisa wa ulinzi nchini humo wamekuwa wakilengwa na wapiganaji wa Taleban na Al-Qaeda.
Eneo hilo la Bajur limeshuhudia makabiliano makali zaidi kati ya wanajeshi wa serikali wanozizatiti kupambana na wapiganaji wa waasi.
Shambulio hilo ndilo mbaya zaidi kuwahi kutokea nchini humo tangu tarehe mbili mwezi Machi mwaka huu, wakati watu 22 waliuawa na mlipuaji wa kujitoa mhanga katika msikiti mmoja katika wilaya ya Khyber.

May 02, 2012

MAVAZI YASIO NA HESHIMA MBELE YA JAMII YA KITANZANIA NA KIAFRIKA.

Acheni  kuiga  mambo  ya  kimagharibi.  mtaumbuka.  badili  kuwa  style  inakuwa  ni  ujinga.

MAAJABU YA SIKU.!!!!!!

Duniani  kuna  mambo. kumbe  hata  mti  unaweza  kuzaa binadamu.  mtoto  huyu  inasemekana  mama  yake  kutokana  na ugumu  wa  maisha   aliamua  kumwachia    bwana  mti.    ili  amsaidie  kumlelea