June 07, 2011

JE UNATAFUTA NYUMBA YA KUPANGISHA? KAMA NDIO USISUMBUKE TENA...


nyumba inapangishwa upande wa mbele mzima, pia ni sel-conteined, ina vyumba viwili, store, umeme, maji, geti kwaajili ya usalama wa mali zako na nyumba iko msasani karibu na beach na shule ya msingi ya msasani A na B. Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba: 0716-808016
            BEI YA  KUPANGISHA
  
Tsh.300,000/= KWA MWEZI  MMOJA


      WOTE  MNAKARIBISHWA

June 06, 2011

YAFUATAYO NI MAONI MBALIMBALI YA KUHUSU NCHI YETU KUNDI LA REALFRIEND NDANI YA FACEBOOK.

KUELEKEA MIAKA 50 YA UHURU
 
Mkuu wa chuo (MUCCOBs)
Je kuna mabadiloko....!!
tatizo la umaskini wa tz
kwa kutoa takwimu mbalimbali zikiwemo
zifuatazo:
-12.1% ya watanzania ndio wanapata
umeme tz.
-95.8% ya watanzania wanatumia
vinyesi,mkaa na kuni kwa ajili ya kupikia.
-34% ya watanzania wanatumia vyoo vya
kisasa wengine baharini na porini.
-Uwepo wa magonjwa ya mlipuko mf.
kipindupindu. Mnamo mwaka 2002
Mwanza iliongoza kwa magonjwa ya
mlipuko
-Huduma mbovu za Afya.
-Death rate imeongezeka
Pia alizungumzia sababu za Tanzania
kuendelea kuwa maskini:
1.Tz inategemea kilimo cha mvua
2.Ari ya kufanya kazi imepungua
3.Tunategemea takwimu na miongozo
kutoka world bank na imf
4.Ukosefu wa shule nzuri,walimu na vifaa
vya kufundishia.
5.Watu kutokuwa na nguvu na mamlaka ya
kufanya maamuzi.
Mwisho wa yote alizungumzia mambo
ambayo tukifanya yatatuondoa katika
tatizo la umaskini:
-Watu kuwa na hari ya kufanya kazi na
uzalendo kwa taifa.
-Ardhi
-Uongozi ulio bora
-Katiba safi na bora.
Mzungumzaji mwingine alikuwa ni Dkt
Mwakyembe ambaye aligeukia upande wa
vijana hususani wa vyuo vikuu,kwa
kusema wao ndio wenye nguvu kubwa ya
kuleta mabadiliko katika nchi yetu.


BORA UCHEZE NA FAMILIA YAKO KULIKO NGUVU YA UMMA..

Tunataka  haki  zetu. 







Hizo  ni  kauli  za  vijana  waliokuwa  wakiandamana  jana  kupinga  kupelekwa  kwa  mwenyekiti  wa  chama  cha  Demokrasia na  maendeleo   Chadema  Filimon mbowe Ambapo  ndio  alikuwa  akisafirishwa  kuelekea mahakama  ya  uko Arusha.  hapo  jana maeneo  ya  magomeni  moroco  hotel.

Tunawangoja  kwa  hamu.

 Hawa  ni  wazee  wa  kutoa dozi  bila  ganzi, wakiwa  katika  mingo  zao.  huku  wakisubiri  wale  wanao andamana  kwa  kupinga  kusafirishwa kupelekwa  mkoani Arusha,  mwenyekiti  wao  wa  chadema.   lakini  wazee  hao  wa  kazi   waliondoka  bila  mafanikio  kupatikana.

shop frame frame frame !!!!!!!!!!!

JE  UNATAFUTA  FRAME  YA  BIASHARA ?  USIPATE  SHIDA.   TUNAPENDA   KUWATAARIFU   KUWA  IPO  FRAME  NZURI  NA    NA  BORA  KABISA.  IPO  MAENEO  YA  MOROCO  HOTEL.  TUNATAZAMANA  NA  KANISA  LA KATOLIKI. BEI  NI  POA   KABISA.  AU  WASILIANA  NASI  KWA    SIMU  NO:0655-015461 AU   BARUA  PEPE  mwangajamii@yahoo.com