Napenda kuwatangazia nafasi za kazi katika blog hii....
Endapo kama kumetokea nafasi za kazi katika blog hii.Itakubidi uwasiliane nami..kujua njia za kufanya kazi pamoja na vigezo na masharti kuzingatiwa. kumbuka kuwa pindi utakapopata kazi kupitia blog ni vizuri kufuata vigezo na masharti, Nia ya kuweka vigezo na masharti ni kukulinda wewe na kupata haki yako yote. na vile vile ni kuimarisha usalama na uaminifu wako sehemu ya ajira yako... Nina sisitiza uaminifu....
NAFASI YA KAZI
ZA NDANI IMEPATIKANA.... MSHAHARA 30,000. KWA MWEZI ALIYEKUWA TAYARI AWASILIANE NAMI KWA SIMU NAMBA ...0713883872........ UAMINIFU WAKO NDIO NGAO YAKO.
MAENEO NI DAR-ES -SALAAM..... WAHI SASA.. WOTE MNAKARIBISHWA..